Kenya
Entashata
Noorimrim Nairoto (Mama Kijiji) ambaye amehudhuria mafunzo ya afya ya uzazi.
“Mafunzo hayo yalinifungua macho kwa maswala ambayo sikujua hapo awali. Nimehubiri yale niliyofundishwa kwa wanawake wenzangu katika jamii kwa sababu nataka wao pia wanufaike katika elimu hii. Pia nimejifunza kuhusu haki zangu na mahali pa kutafuta msaada iwapo nitakuwa na matatizo.”
Noorimrim Nairoto (Mama Kijiji) ambaye amehudhuria mafunzo ya afya ya uzazi akihudumia chai kwa wanajamii ikiwa ni sehemu ya jukumu lake kwani Mama Kijiji ni kuwahudumia wanajamii.
© Esther Sweeney / Ipa

