Kenya
PACIDA
Monica Lotukoi mwanajiolojia katika idara ya maji katika kaunti ya Samburu. Monica alikuwa mhusika mkuu katika kufanya kazi na PACIDA kuunda Miswada 2 na Sera 2 zenye uwiano wa mabadiliko ya hali ya hewa na mazingira. Kwa ushawishi wao Miswada hiyo ilitengenezwa na kuwa Sheria huku sera zikisubiri kuidhinishwa na baraza la mawaziri. Monica na timu kutoka PACIDA waliweza kufanikisha hili katika chini ya mwaka mmoja ambao ni wakati wa kuvunja rekodi kwa sababu Bili huchukua muda mrefu kuidhinishwa. © Esther Sweeney / Ipas
© Esther Sweeney / Ipas

