Kenya
Entashata
Maeneo kavu na kame ya otturotale ntashata.
Bwawa la Entashata ambalo ndilo chanzo pekee cha maji katika eneo kavu na kame la Olturotale Ntashata. Maji ni minimla sana na hukauka. Wanawake wanapaswa kutembea hadi kilomita 12 ili kupata maji na hii inawachukua karibu siku nzima. Hii ina maana kwamba Wanawake wa jumuiya hawana muda wa kufanya kitu kingine chochote au kuhudhuria shughuli zozote zinazoandaliwa na CBO. Maji pia ni machafu sana na yanaweza kusababisha magonjwa.
© Esther Sweeney / Ipa

