John Jamaica Lediipo

Kenya

PACIDA

John Jamaica Lediipo ni afisa wa mazingira kutoka Kaunti ya Samburu ambaye hushirikiana na PACIDA katika mafunzo ya upandaji miti huwapitisha wanawake katika kipindi cha kuwafundisha kuhusu miti waliyoleta na jinsi ya kuipanda na kuitunza.

John Jamaica Leddiipo afisa wa mazingira katika Kaunti ya Samburu ambaye anafanya kazi kwa ushirikiano na PACIDA kuwaelimisha wanajamii kuhusu upandaji miti, uhifadhi wa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa.

“Kwa msaada wa PACIDA tulianzisha mradi wa Kitchen garden wa kupanda mboga ili kuchukua nafasi ya maziwa kwa sababu ng’ombe walikuwa wanakufa kutokana na ukame. Tumehakikisha kuwa kila mshiriki katika vikundi hivi tofauti ameanzisha bustani ya jikoni ambayo wanavuna mara 3 kwa wiki. Pia tunahimiza watu kupanda miti ya matunda ambayo ni miti yenye thamani kubwa. Pia tuliwashauri kupanda miti ya misitu ya kilimo kwa ajili ya malisho ya mifugo na kivuli. Ninachoweza kusema ni kwamba PACIDA imeleta chnage kubwa katika jamii hii.

© Esther Sweeney / Ipas

John Jamaica Leddipo
John Jamaica Leddipo
Janet Lemerimuka