Kenya
Entashata
Sharon Naisula ambaye ni mnufaika wa mafunzo ya usikivu.
“Mafunzo ya usikivu yamenitia nguvu na kunielimisha. Sasa najua hatari za ukeketaji, najua haki zangu ni zipi, nimefundishwa kuhusu umuhimu wa kupanga uzazi na kupima VVU. Pia naweza kusema kwamba ukeketaji umepungua sana katika jamii yetu kutokana na uhamasishaji huu.”
Sharon ni mwalimu kwa taaluma.
© Esther Sweeney / Ipas
