Phillip Simpano

Kenya

Entashata

Phillip Simpano Chifu wa eneo la Entasekera anatuonyesha bomba la jamii ambalo liliwekwa kama sehemu ya mradi wa maji. “Kabla ya mradi huu wa maji, wanakijiji walikuwa wakinywa maji machafu kwa sababu chanzo cha maji hakikuwa kimehifadhiwa. Sasa wanajamii wanaweza kunywa maji hayo kwa kuwa ni safi na pia kuyatumia kwa kazi nyingine za nyumbani.”

Bomba la maji ambalo liliwekwa kama sehemu ya mradi wa maji na huleta maji kutoka chemchemi ya Kilueni. Maji yameleta faida kama;

  1. Kupunguza magonjwa yanayotokana na maji.
  2. Kusaidiwa katika afya ya uzazi na usafi kwa sababu wanawake sasa wanaweza kutumia maji safi.
  3. Wanawake wa jamii sasa wana muda wa kuhudhuria programu na shughuli za jamii zikiwemo huduma za afya.
  4. Wanajamii wanapendelea zaidi kutunza usafi wao wa kimwili kwa sababu maji ni safi.

© Esther Sweeney / Ipa

Phillip Simpano
Phillip Simpano
Phillip Simpano