Kenya
PACIDA
Ismael Ali na Mureithi ambao ni wanachama wa plastic boys ambalo ni kundi lililoundwa kupambana na matumizi ya plastiki. Kikundi kilianzisha mradi mdogo wa kilimo nyuma ya warsha yao ambapo wanapanda miti na mimea ya nyumbani. Kwa kweli mradi huo umeanza na kupitia PACIDA wametengewa eneo kubwa karibu na afisi za serikali ya kaunti.
© Esther Sweeney / Ipas


